Bila hivyo huu uzi wa kaka mshana ungekua buree kabisa! HahahahhaNdio utume picha za faragha zao huko ni kuwa vunjia heshima🤣🤣🤣😅😅😅😅😅
Mwili umesisimka hayo makitu
Unataka kumaanisha kwamba mshana ni ni mlevi wa hayo mamboBila hivyo huu uzi wa kaka mshana ungekua buree kabisa! Hahahahha
Atume wakiwa kazini 😊Ndio utume picha za faragha zao huko ni kuwa vunjia heshima🤣🤣🤣😅😅😅😅😅
Hahahhahaa almost miaka 15 yangu hapa JF na kumjua kaka mkubwa sijaona element hizo hahahhahaaUnataka kumaanisha kwamba mshana ni ni mlevi wa hayo mambo
Mjusi ni mdudu?shule mlienda kusomea ujinga??Wadudu niwapendao ni kipepeo,mjusi,panzi