Wadogo zangu mmh!

Wadogo zangu mmh!

Wacha uji.nga😂 Dogo mtoto wako miaka 18 ni mwanaume?

Mtoto gani huyo hajui kupika? Akiishi mwenyewe itakuwaje?

Ila watu wana Raha unabeba mimba inaenda kuilelea kwenu? Mama alishasema kati yetu MTU akibeba mimba kuilea ni huko huko.

Sasa huyo mpuuzi hata kupika hawezi soon atazalia hapo, huyo atafua mikojo ya mwanae? Huu upuuzi ni malezi mabovu
Namsubiri ajifun
Mkuu, kwani bi mkubwa yupo humu

Pengine hata wadogo zako wanalalamika, hivi ukiwa dada ndio unaondoka asubuhi na kurudi usiku halafu ukute chakula kwani wao ni mabeki tatu wako

All in all, naona kuna shida ya kimalezi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijamaanisha hvyo, na mimi sili home kuanzia j3 ad jmos na nikiwah kurudi kama hakujapikwa napika vizuri tu na asbh nafanya chchte kabla sijaondoka. Nisichopenda ni flani awe beki tatu kwa flani ningependa tufanye tufanye tu kwasbb ni kwetu sote, btw neno langu sio sheria watii ya wazazi tu.
 
Ina maana hawamuheshimu mama yako

NA

Mama yako ameuachia ulimwengu uwafunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYO DOGO ANAYESHINDA NA SIMU ATAKUWA MOJA KATI YA WANA LUMUMBA WA NAOTUSUMBUA HUMU FANYA UMPORE SIMU ASITUJAZIE SERVER

MI NLIFUNDISHWA KUPIKA NIPO PRIMARY NA HOME HAPAKUWA NA TOFAUTI YA KAZI KATI YA WATOTO WA KIUME NA WAKIKE DINGI ALIKUA MJEDA FULL UBABE HADI HOME HADI TUKANYOOKA.
 
Mkuu watoto wote mmeshare baba au wewe baba yako tofauti? Manake kuna wamama makosa ya baba unayabeba mtoto. Anyways kuna shida kubwa ya malezi hapo kwenu.
 
Mkuu watoto wote mmeshare baba au wewe baba yako tofauti? Manake kuna wamama makosa ya baba unayabeba mtoto. Anyways kuna shida kubwa ya malezi hapo kwenu.
Baba mmoja mkuu, baba ana mahaba na mimi na mama ana mahaba na waoo. Na akija Mzee hata maji ya kuoga namuwekea mimi hadi nishazoea tu(usije kutafsri vby, Mzee wangu mgonjwa kdg alipata stroke, na ugomv na bmkubwa hauishi kila leo sbb siwez kuzingumza, kwahyo wakizozana kdg tu bimkubwa hamfanyii chchte)
 
Japo sishauri tabia yake ya kushinda na simu kutwa, ila swala la mwanaume kudeki chooni au kuosha vyombo wakati wanawake wapo siafiki!

Mwanaume ni mwanaume tu hata awe na umri wa miaka 5
Hayo mambo ya kizamani,Mimi nilikuwa hone naosha vyombo,nadeki hadi kupika kipindi niko home,ishu kusaidiana na sio mambo ya jinsia
 
Baba mmoja mkuu, baba ana mahaba na mimi na mama ana mahaba na waoo. Na akija Mzee hata maji ya kuoga namuwekea mimi hadi nishazoea tu(usije kutafsri vby, Mzee wangu mgonjwa kdg alipata stroke, na ugomv na bmkubwa hauishi kila leo sbb siwez kuzingumza, kwahyo wakizozana kdg tu bimkubwa hamfanyii chchte)
Duh pole hapo mama ndio tatizo ila mkuu sio mbaya Vumilia ukiwa Sawa kiuchumi hama hapo home.
 
Hayo mambo ya kizamani,Mimi nilikuwa hone naosha vyombo,nadeki hadi kupika kipindi niko home,ishu kusaidiana na sio mambo ya jinsia
Mwanaume wa aina yako kwanza ni wasafi wale wanao fikilia kazi ni kwa ajili ya wanawake tu ukienda kwenye nyumba zao unaweza kuishia mlangoni jinsi kunavyotoa harufu.
 
kwa huyo wa kike sijui lolote,hila kwa huyo wa kiume,watu kama kina james delicious walianza kama yeye alivo
 
Waonye kwa nafasi yao lakini usishindane nao maana utajizolea maumivu ya moyo ambayo yatakuumiza tu fanya kwa nafasi yako kile unaweza fanya vingine mshtakie Mungu through maombi
 
Back
Top Bottom