Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
mkuu acha tu kuna wanawake sku hizi n balaa,. Nilitegeshwa mimba hyo halafu ukoo wao mzma ukaandaman kuja eti lazma nimuoe mtoto wao.
Yaan kuna wanawake baadhi hawatumii hata akili ya kawaida
hajapewa mbunye, ile anaanza kunizoea zoea nilikuwa na hamu sana, ila sikumtega hata kidogo, ndo kilichosidiana yeye haoneshi kama anataka mbunye, ,
sasa mda ulivyoenda na tabia zake mbofumbofu hata nimejikuta ananikera kupita maelezo
atulie apate mume
Bibie mbona unaitaja taja ndoa hata mahali isiyohusika?yaani mtu atatawalaje kwajo namna hiyo
MIMI MWANAUME ALALI KWANGU,akila kwangu basi ni mshikaji kitambo sana
jamani kumpikia kumfulia ni sawa na kumpa maziwa alafu utegemee siku moja atafuga ngombe hell noooooooooooooooooooo
HAPO UOLEWI NGOOOO ACHA KUJIRAHISISHA
eti kakataa
ha ha ha ha ha ha
ukweli mchungu, huwa najiuliza mara kibao hiki ninachofanya ni nini hata sipati majibu, kuna siku alipiga simu anauliza kuna nini leo, nikamwambia hatupiki leo,aah si akaja tu mara nashangaa mtu huyo kakuta msosi jikoni acha aanze kunitukana tena eti mchoyo
marrykate Nina wasiwasi hiyo hamu ndio inakifanya uwe restless, you loved the dude long ago...mmekutana na jamaa haonyeshi kutaka mbunye, Nina uhakika angekupa dushe la uhakika wala usingekuja ku complain. Stress za kumiss dushe nazo mbaya ujue.
Eti dada, kwenu wanafahamu kama ishaanza kuishi na mwanaume geto kwako?
Bwana we si nikatokea kumpenda mkaka mmoja hapa ofisini, muda mrefu tu umepita, sema kila nikijipendekeza alikuwa haelewei somo, basi nikaamua kuacha na hizo mambo za kumuwinda winda kila mara, miaka miwili ikapita ghafla na yeye akaanza kujiweka karibu na mimi, kwa vile nampenda sana sikuweza kuresist basi nikarespond nikamchukulia kama rafiki wa karibu tu sio mpenzi.
Sasa katika mazoea haya ya urafiki mwenzangu sijui anahisi yupo na mke wake, kila siku anataka apate chakula cha jioni kwangu, basi nitajipikilisha wee jamaa anakuja anakula anasepa, huyu jamaa anapenda vyakula vya kuchemsha tu, visiungwe hata, na mimi napenda kukaanga ile mbaya,akaanza visa akikuta tumepika chakula asichopenda matusi yatamtoka huyo utafikiri alitoa hela halafu nikanunua vitu vingine.
Kujifanya kuimiliki nyumba utafikiri anajua hata kodi ya nyumba ni sh ngapi, akifika home basi itabidi muangalie vipindi anavyotaka yeye tu, maongezi yawe anayotaka yeye tu, feni izimwe.
Nimemwambia mara kadhaa kuwa yupo selfish sana anaona kama namtania vile nimfanyeje huyu mtu jamani?