Wadhifa mpya wa mheshimiwa Edward N. Lowassa

Kumbe ndo maana jk alikomaa sana,anamjua lowasa na mbinu zake
 
Hiyo ndio ilikuwa kazi yenu kumjazia misifa ya uongo mumlie pesa zake. Kwanza Mwache apumzike atafakari pesa alizopoteza.

Huu upuuzi mtupu ,unaweza kutuambia lowasa katumia milioni ngapi ,ambazo ni zaidi ya mabilioni waliyotumia ccm kuhonga watu, ??? acha ujinga we boya.
 
Nimeshindwa kukulelewa ulilenga nini,ama ndo umelewa mahaba yake,maana umemsifia malaika nyuma.
 
Lowassa ahataa kujitumikia mwenyewe hawezi.

Angekuwa na umaarufu huo unaosema saa hizi tungemuona Ikulu.

Kashindwa kujitumikia mwenyewe hata ya kutumia fedha nyingi sana, ataweza kutumikia watu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

ahataa = hata
 
Lowassa kabla hajaanza hizo kazi za kupatanisha watu kwanza kabisa aturudishie pesa zetu za RICHMOND, mashamba na ranch zetu na viwanja alivyo jimirikisha kule Arusha kwa kutumia madaraka yake vibaya. Lowassa ni tapeli na fisadi nambari wani hapa nchini. Sitaki kusikia lolote kutoka kwake kabla ya kurudisha mali zetu.
 
Usichanganye kukubalika na kutuka au kufahamika 'populours'. Lowasa hakubaliki bali anafahamika na wengi. Kura alizopata haziashirii kukubalika ila ni hasira ya wananchi kutaka kuidhibu CCM kutoka na tabia yake hasa Bungeni kuitikia kila jamboo 'Ndiyooooo!' hata kwa mabo yasiyo na maslahi kwa umma. Uthibitisho ni kauli ya baadhi ya wananchi waliosema 'Hata wangeweka jiwe, tutalipigia. Lowasa alifananishwa na jiwe, lisilosema chochote wala kufikiri. Hata CHADEMA hawakumpokea kwa sababu anakubalika bali kwa sababu walidhani kwa kupitia yeye (Lowasa) wangeiondoa madarakani CCM. Aliwadanganya kuwa ana mtaji wa watu ambao angehama nao kutoka CCM kwenda CHADEMA. Jambo ambalo halikuwa kweli. Unaposema ana karama ya kuleta mtengamano baina ya watu na watu, ni wapo katika historia yake amewahi kuwaweka watu pamoja kwa jambo gani? Nakumuka kinyume chake juzi hapa akiwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama almanusura atuingize vitani na Malawi kwa hulka yake ya kuchukua mambo kwa pupa, angekosa Super Diplomat Jakaya Mrisho Kikwete leo pengine tungekuwa na historia tofauti kabisa
Sina lengo la kutafuta umaarufu kwa kumzungumzia mtu ambaye kwa sasa anaonekana kuwa maarufu zaidi nchini Tanzania. Ana mvuto wa pekee na kajijengea heshima kubwa katika jamii. Anakubalika kila eneo. Bara na Visiwani; Wakristo na Waislamu, Wenye kumcha Mungu na Wapagani; Wazee na Vijana; Wanaume na Wanawake wote wanamkubali.
Hauhitaji kuwa msomi sana, wala tajiri sana ili kupata umaarufu kama alionao Ndg. Edward Nyoyai Lowassa. Naweza kusema bila ya wivu wala donge kuwa Mungu mwenyewe ndiye alimjalia Ndg Lowassa karama hii. Amefanya siasa kwa miaka mingi na tumeona mazuri na mapungufu yake na hivi karibuni alijikita katika kinyang'anyiro cha nafasi ya Urais lakini yaliyotokea sina haja wala sababu ya kuyajadili hapa lakini JIBU kila mmoja wetu analo kwa namna tulivyopokea matokeo.

Kinachonisukuma kuandika waraka huu; ni kuikumbusha jamii na Ndg. Lowassa kuwa Mungu ametujalia kumpata mtu ambaye anaweza kutumika vizuri katika kuleta mtangamano wa Kitaifa. Kwa karama yake ya kukubalika, binafsi, naona ni mtu sahihi wa kufanya usuluhishi yaani MEDIATION. Mwl. J.K. Nyerere alijaliwa kipawa hiki na alitumika kufanya usuluhishi wa ndani na nje ya nchi. Amefariki akiwa ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi. Ninaiona karama hiyo kwa Lowassa. Kwangu mimi hii ni hazina kubwa ambayo hatuna budi kuitumia kwa manufaa ya taifa letu.

Ninatambua wale ambao wanawaza siasa katika kila jambo wanaweza kuja na kejeli nyingi juu ya hiki, lakini ningependa mnipe mbadala wa Lowassa katika kukubalika katika jamii. Je, ni Pinda, Ben, Mzee Ruksa, JK, Salim, Mzee Wassira, au Warioba??? Kwangu mimi, Lowassa ndiye mtu pekee kwa sasa ambaye anaweza kuwaambia watu wenye jazba, tulieni na wakatulia, wenye silaha mikononi kuwa wekeni chini na watu wakaheshimu; anaweza kuwaambia wanaopigana tulieni na watu wakatii.

Baada ya maisha ya siasa, sasa ni wakati muafaka sana kwa Mzee Lowassa ukawatumikia Watanzania kwa njia hii ambayo kwangu mimi naona ina thawabu kubwa sana mbele za Mungu. Tuna migogoro ya muda mrefu hapa nchini mf. Wakulima na Wafugaji, Wachimbaji wa madini na Wawekezaji, misuguano ya kidini ya chini kwa chini nk. Migogoro hii kwa upande mwingine haihitaji mabavu au mkono wa Serikali bali watu wenye busara zao kama Ndg. Lowassa. Kama hili halitoshi, familia ya Lowassa imebahatika kuwa na Mama mwenye mvuto na ushawishi kuliko wanawake pengine wote kwa sasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anajiheshimu, ana busara na anakubalika mno mno. Hii ni nyongeza kwa Mzee Lowassa katika kukamilisha kazi ambayo naiona imebaki katika kipindi cha maisha yake. Neno la Mungu linasema Heri Wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu!!

Mwenyezi Mungu akupe jicho la pekee Mzee Lowassa ili uweze kutumika kwa namna mpya na yenye manufaa makubwa kwa Taifa, Bara la Afrika na Dunia kwa ujumla. Mungu akuzidishie maisha marefu na wote wenye kuwaza na kupanga mabaya dhidi yako washindwe.
MAISHA MAPYA NDIYO HAYA MZEE LOWASSA, TUTUMIKIE KWA NAMNA HII.
 
Na pia alipata umaarufu kw kulowasika usisahau
 
Alisema mwenyewe wewe unaejipendekeza ni muongo,kafanye yako na upunguze kupiga mizinga kwa kutegemea unafiki

Alisema anakwenda kufuga ng'ombe au kuchunga ng'ombe,mbona unapotosha,narudia tena,kama Lowiguluassa atakwenda kuchunga ng'ombe Monduli basi wewe utakuwa housegirl wa hawara yake na Mwigulu Nchemba!
 
Lowassa aheshimiwe. Akitoa kauli yeyote sasa ya kuonyesha kukasirishwa taifa linaingia machafukoni.
 
Mtu anaingia kanisani anasema sasa zamu ya Wa Lutheri, atasuluhisha migogoro huyu ana atachochea? toa mfano wa mgogoro aliowahi kutatua, hata wa wezi wa ng'ombe pale monduli. Mwacheni mzee wa watu apumuzike
 
Alisema anakwenda kufuga ng'ombe au kuchunga ng'ombe,mbona unapotosha,narudia tena,kama Lowiguluassa atakwenda kuchunga ng'ombe Monduli basi wewe utakuwa housegirl wa hawara yake na Mwigulu Nchemba!

Mbona mwandiko mchafu sana,au ndio mikono inatetemeka kwa kunywa viroba kama babu .Elimu inatolewa bure rudia ujitambue
 
Final ni hapa
 
Attachments

  • 1446999510089.jpg
    1446999510089.jpg
    22.4 KB · Views: 529
Mbona mwandiko mchafu sana,au ndio mikono inatetemeka kwa kunywa viroba kama babu .Elimu inatolewa bure rudia ujitambue

Nakupongeza kwa kukubali kuwa wewe ni housegirl wa Juliana!
 
Sina lengo la kutafuta umaarufu kwa kumzungumzia mtu ambaye kwa sasa anaonekana kuwa maarufu zaidi nchini Tanzania. Ana mvuto wa pekee na kajijengea heshima kubwa katika jamii. Anakubalika kila eneo. Bara na Visiwani; Wakristo na Waislamu, Wenye kumcha Mungu na Wapagani; Wazee na Vijana; Wanaume na Wanawake wote wanamkubali.

Hauhitaji kuwa msomi sana, wala tajiri sana ili kupata umaarufu kama alionao Ndg. Edward Nyoyai Lowassa. Naweza kusema bila ya wivu wala donge kuwa Mungu mwenyewe ndiye alimjalia Ndg Lowassa karama hii. Amefanya siasa kwa miaka mingi na tumeona mazuri na mapungufu yake na hivi karibuni alijikita katika kinyang'anyiro cha nafasi ya Urais lakini yaliyotokea sina haja wala sababu ya kuyajadili hapa lakini JIBU kila mmoja wetu analo kwa namna tulivyopokea matokeo.

Kinachonisukuma kuandika waraka huu; ni kuikumbusha jamii na Ndg. Lowassa kuwa Mungu ametujalia kumpata mtu ambaye anaweza kutumika vizuri katika kuleta mtangamano wa Kitaifa. Kwa karama yake ya kukubalika, binafsi, naona ni mtu sahihi wa kufanya usuluhishi yaani MEDIATION. Mwl. J.K. Nyerere alijaliwa kipawa hiki na alitumika kufanya usuluhishi wa ndani na nje ya nchi. Amefariki akiwa ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi. Ninaiona karama hiyo kwa Lowassa. Kwangu mimi hii ni hazina kubwa ambayo hatuna budi kuitumia kwa manufaa ya taifa letu.

Ninatambua wale ambao wanawaza siasa katika kila jambo wanaweza kuja na kejeli nyingi juu ya hiki, lakini ningependa mnipe mbadala wa Lowassa katika kukubalika katika jamii. Je, ni Pinda, Ben, Mzee Ruksa, JK, Salim, Mzee Wassira, au Warioba??? Kwangu mimi, Lowassa ndiye mtu pekee kwa sasa ambaye anaweza kuwaambia watu wenye jazba, tulieni na wakatulia, wenye silaha mikononi kuwa wekeni chini na watu wakaheshimu; anaweza kuwaambia wanaopigana tulieni na watu wakatii.

Baada ya maisha ya siasa, sasa ni wakati muafaka sana kwa Mzee Lowassa ukawatumikia Watanzania kwa njia hii ambayo kwangu mimi naona ina thawabu kubwa sana mbele za Mungu. Tuna migogoro ya muda mrefu hapa nchini mf. Wakulima na Wafugaji, Wachimbaji wa madini na Wawekezaji, misuguano ya kidini ya chini kwa chini nk. Migogoro hii kwa upande mwingine haihitaji mabavu au mkono wa Serikali bali watu wenye busara zao kama Ndg. Lowassa. Kama hili halitoshi, familia ya Lowassa imebahatika kuwa na Mama mwenye mvuto na ushawishi kuliko wanawake pengine wote kwa sasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anajiheshimu, ana busara na anakubalika mno mno. Hii ni nyongeza kwa Mzee Lowassa katika kukamilisha kazi ambayo naiona imebaki katika kipindi cha maisha yake. Neno la Mungu linasema Heri Wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu!!

Mwenyezi Mungu akupe jicho la pekee Mzee Lowassa ili uweze kutumika kwa namna mpya na yenye manufaa makubwa kwa Taifa, Bara la Afrika na Dunia kwa ujumla. Mungu akuzidishie maisha marefu na wote wenye kuwaza na kupanga mabaya dhidi yako washindwe.
MAISHA MAPYA NDIYO HAYA MZEE LOWASSA, TUTUMIKIE KWA NAMNA HII.

Angempongeza Magufuli walipofika half-way na matangazo ya matokea ya kura angejijengea uhalali mkubwa. Better still angeyakubali matokeo ya mchakato wa wagombea DODOMA halafu ampigie debevMagufuli Uchaggani na Meru na Umasaini angejijengea uhalali zaidi.

Aende South Sudan asuluhishe. Zanzibar hatofaa kwa vile aliapa kuwaachia washitakiwa wa ugaidi UAMSHO, tutawatonesha waliopofuliwa ndugu zao kwa tindikali na kuuliwa mapadri wao. Try South Sudan kwa hela yake, he is a rich man. WM.
 
Kwa sasa ni Lazima kumkubali Mh. Magufuli ninataka au La !
Ni ujinga kushindana na Mangi!
Ana Maamuzi na Upanga wa kiyasimamia hivyo kwangu mh. Lowassa anabakia kua binaadam wa Pekee mwenye UVUMILIVU MKUBWA HAPA DUNIANI KWA SASA , aidha Busara yake imeleta Utangamano wa kitaifa. Nimepata sababu ya kumpenda zaidi Lowassa hasa pale alipolinda maisha ya vijana wa kitanzania kwa kutochochea VURUGU AMBAZO ZINGEWEZA KUONDOKA NA ROHO ZA WENGI.
Ninamuomba Mungu amjaalie Magufuli moyo wa ujasiri ili aweze kutimiza matarajio ya WATANZANIA.
 
Back
Top Bottom