Wadau wenzangu wa Forex...

Nifafanulie kidogo niijalibu kama hutojali

Mkuu nimekuandikia tu kirefu chake...hyo strategy huwa siitumii...ilinishindaga..kwa sasa muongozo wangu ni candlestick trading bible...nilishajaribu strategy nyingi sana..indicators kibao...they never worked...ngoja nitaweka hapa trading plan nilitengenezaga....ukiweza kuifuata itabadilisha maisha yako.
 
Fanya ivo trader nasi tupate mwanga
 
Mkuu nimekuandikia tu kirefu chake...hyo strategy huwa siitumii...ilinishindaga..kwa sasa muongozo wangu ni candlestick trading bible...nilishajaribu strategy nyingi sana..indicators kibao...they never worked...ngoja nitaweka hapa trading plan nilitengenezaga....ukiweza kuifuata itabadilisha maisha yako.
sawa
 
Hyo hapo (10% daily profit challenge) nimeweka kianzio $100 ila unaweza kuanza kiasi chochote..nenda kwenye month one sheet mwanzo weka kiasi chochote itacalculate daily/weekly/monthly profit automatically....cha msingi hapa ni discipline...kwa mfano labda ukitengeneza weekly profit kwa siku moja....basi siku nne zilizosalia usiforce trades....tafuta tena setup nzuri hata kwa siku zote nne....ukipata loss dont revenge.... it has never worked and it will never....kaa mbali na charts for a while..

discipline discipline discipline discipline discipline discipline discipline discipline discipline

najaribu kuattach spread sheet inakataa......(The uploaded file does not have an allowed extension) hata sijui kwa nn tu....

Mwl.RCT msaada wako hapa tafadhali
 
Mbona mimi siioni😶
 
Unamaanisha umejiwekea kiasi cha profit kwa siku, but unatumia strategy ipi kupata iyo 10%
 
mkuu ndo maana nimekutumia candlestick trading bible...ushauri wangu...futa kichwani kila kitu unachokijua kuhusu forex trading..then soma candlestick trading bible kwa utulivu...kila kitu utakipata huko..

mm huwa natrade only pinbars and engulfing bars (W1...D1 and H4)...continuation or reverse,,,,,i never trade against major trends.....mara chache sana natumia 21 period MA as dynamic resistance or support
 
Forex ni mitandao ya kishetani tu hio

Fanya kazi jitume usiangalie watu wanakuangaliaje

Watanzania tunapenda usharobaro sana

Tembeza vitu uza kwa juhudi tafuta kazi ata
Beba ata tofali if possible ACHENI kupenda mafanikio ya haraka fanya kazi kwa bidii

NARUDIA BIDII NA ULINZI WA MUNGU VINATOSHA SANA

Achana na ujinga huo wezi tu hao
 
Sawa hayo ni maoni yako

We endelea kubeba tofali
 
Forex ni mitandao ya kishetani tu hio

Fanya kazi jitume usiangalie watu wanakuangaliaje

Watanzania tunapenda usharobaro sana

Tembeza vitu uza kwa juhudi tafuta kazi ata
Beba ata tofali if possible ACHENI kupenda mafanikio ya haraka fanya kazi kwa bidii

NARUDIA BIDII NA ULINZI WA MUNGU VINATOSHA SANA

Achana na ujinga huo wezi tu hao
Akili ndogo haiwezi fanya vitu vikubwa, endelea kubeba tofali
 
Wanapigwa wengi kwa sababu forex ni professionalism! Ni kwa mfano wewe nikuletee ndege halafu nikuambie panda na uendeshe! Ni lazima utasababisha ajali tu!Forex inahitaji usomee kwanza kama vile watu wanavyosomea urubani, udaktari, ubaharia, sheria, uinjinia e.t.c!
Halafu naona kila anaekuja kuhusu forex ni kulia amepigwa,amepigwa. Hakuna anaerudisha mrejesho wa kupiga hela huko. Kama ni hivyo kwa nini msiachane na hilo dude?
 
Back
Top Bottom