zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 818
- 536
Ukweli usiopinginga wala kutia shaka kabisa, kuwa kwa sasa bongo tamthiliya za kikorea ndo pendwa.
Ubora wa picha zao, uigizaji uliotukuka, stori nzuri yenye mpangilio makini. Wakorea wanatisha.
Binafsi sijaangalia nyingi ila kwa hizi chache nazikubali;
1. East of Eden
2. Giant
Wewe zipi?
Ubora wa picha zao, uigizaji uliotukuka, stori nzuri yenye mpangilio makini. Wakorea wanatisha.
Binafsi sijaangalia nyingi ila kwa hizi chache nazikubali;
1. East of Eden
2. Giant
Wewe zipi?