FezzyJoe Senior Member Jun 2, 2017 115 45 Aug 22, 2017 #1 Mimi nimejisajili na kufanya application mwezi huu sasa kila ninapo fungua SARIS naambiwa invalid username na password wakati nimeweka vyote sahihi anayejua anijuze tatizo nini
Mimi nimejisajili na kufanya application mwezi huu sasa kila ninapo fungua SARIS naambiwa invalid username na password wakati nimeweka vyote sahihi anayejua anijuze tatizo nini
Victor wa happy JF-Expert Member Apr 24, 2013 11,660 11,641 Aug 22, 2017 #2 Invalid maana umekosea password/user name Kumbuka mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
LTN USU WA MADOSO JF-Expert Member Sep 14, 2016 1,193 859 Aug 22, 2017 #3 Victor wa happy said: Invalid maana umekosea password/user name Kumbuka mchana toch ,usiku magogo tufanyaje? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Victor wa happy said: Invalid maana umekosea password/user name Kumbuka mchana toch ,usiku magogo tufanyaje? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
dindilichuma JF-Expert Member Dec 19, 2015 1,638 2,500 Sep 26, 2017 #4 Mkuu ulifanikiwa kuingia au bado unahitaji msaada?
T tisa 9 New Member Sep 13, 2017 2 0 Oct 7, 2017 #5 hilo tatizo hata mm ninalo nashangaa san wakat mwanzo nlkua naingia vzr tu kw my account ya open sahv naambiwa incorrect either username or pswd
hilo tatizo hata mm ninalo nashangaa san wakat mwanzo nlkua naingia vzr tu kw my account ya open sahv naambiwa incorrect either username or pswd
Aalliyah Gulam Heidar Senior Member Oct 3, 2017 116 154 Oct 7, 2017 #6 Kama bado unatatizo fika katika ofisi za campus yako onana na watu wa IT watakusaidia kuifungua SARIS yako.
Kama bado unatatizo fika katika ofisi za campus yako onana na watu wa IT watakusaidia kuifungua SARIS yako.