Karibu sana mkuu, saiv bar maarufu ni Lenana Pasiansi
Halafu walevi utawajua tu!
Teh teh teh teh!
Wadau kuna yyt ana mjua jamaa mmoja anaitwa chununu! Alikuwa bonge la mtu walikuwa na hoteli inatwa Kunariz pale lumbumba street? Opp ukumbi wa sherehe kama skosei unaitwa pamba au shinyanga something!!

Shinyanga hotel iko Karuta street inayoungana na Lumumba na opposite ya Shy hotel kuna Chakechake restaurant. Wanaofaham huyo bwana watakujibu mie nimekusaidia tu
Wadau kuna yyt ana mjua jamaa mmoja anaitwa chununu! Alikuwa bonge la mtu walikuwa na hoteli inatwa Kunariz pale lumbumba street? Opp ukumbi wa sherehe kama skosei unaitwa pamba au shinyanga something!!
Alishafariki mda sasa,nadhani miaka zaidi ya minne imeshapita
Ungejua hata sijawahi na sina mpango wa kuonja alcohol 100%, kwan bar ni kulewa tu mkuu?
Namfahamu sana huyo mtu , but he's no longer with us . (deceased) Takriban miaka miwili na ushee sasa
Ni kweli ulikua hujui?
Teh teh teh jamaa yangu Jerrymsigwa mi nadhani wale wanaosema wanaenda kula nyama tu huko bar! Hio ni gia tu!
Humo ndani chibuku ni muhimu!
Teh teh teh teh!
Sina habari mkuu! Mara ya mwisho nilikuwa huko mwaka 2006
Okey habari ndy hiyo!
Leo tambua umuhimu wa "social network" ungelijua hili lini?
Walioita "mitandao ya jamii" waliona mbali.
Ipe big up JF !