polygamy iruhusiwe kwa wanawake.
Polyandry inaitwa my friend.
chezea mahusiano wewe, shida huenda hata si matunzo!Kama jamaa kagoma kutoa talaka na huduma hatoi unategemea mwanamke afanye nini?
Nahisi namie unanizunguka wife:shetani::frusty:
MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Makurumla iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Maria Samuel Hoza, amejikuta akiaibika vibaya baada ya mumewe, Bryton Muhanje kumkuta akiwa katika hatua za mwisho za kufunga ndoa nyingine kwenye Kanisa Katoliki la
Kigogo Luhanga, Jumamosi iliyopita.
Hii imekaaje wana JF?
View attachment 182660
Nahisi namie unanizunguka wife
Polyandry inaitwa my friend.
hapana hapana nipo na wewe kama pete na kidole
Sawa baby love youuu
Mwaaah Leo nikutoe wapiii