Nilikuwa nataka kuchukua kati ya hizi , kabla wachina hawashtuka na kuja na US PULU.... 😂Bado sana huyu
Nilikuwa nataka kuchukua kati ya hizi , kabla wachina hawashtuka na kuja na US PULU.... 😂Bado sana huyu
Hii black ya chini unyama plus.Nilikuwa nataka kuchukua kati ya hizi , kabla wachina hawashtuka na kuja na US PULU.... 😂
View attachment 3469351
View attachment 3469352
Hiki + pensi navaa popote mzeeFor fitness
View attachment 3469656
Ila ni ya mazoezi kaka, kimtaa mtaa hakuna atakayezingatia.Hiki + pensi navaa popote mzee
Miss you...upo?Nichangie boss
View attachment 3028069
Boss Black Sniper nimekipata aisee ila hii copy nahisiNinazo pair tatu na moja nimepeleka charity
Ila naomba unisaidie maana wewe unazijua vizuri
Hizi trainers za Swiss 🇨🇠zinaitwa DQ Shoes vipi? Maana bei zake huku ni kuanzia £100 kwenda juu
Kama ni duka la uhakika inawezekanaBoss Black Sniper nimekipata aisee ila hii copy nahisi
Nakipenda sana hiki jumamosi na jumapili lazima nikivaeSasa hizi ndio mambo zangu