Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 5,688
- 11,202
samaleko kaka😂😂
samaleko kaka😂😂
😂😂😂Pembeni namuona Nike Revolution 7. Weekend leo jioni avaliwe uyo.
Ninazo pair tatu na moja nimepeleka charityIla Sketcher unaenda Mlimani City unauliza bei wanakuambia 175,000 simple tu. Dah
Kwa comments zako sijawahi kudhani una hizi swaggas....
HahahaHuo ni utege wa kukabia mwanaume mgongo kwenye kifo cha mende
HaswaHizi hapa au?
View attachment 3467367
Ni kiatu kizuri sanaHuwezi amini nishawahi kiona tu online nikakitamani basi roho imaridhika.
Hawataki na sisi tuvae viatu vizuri, kakaIla Sketcher unaenda Mlimani City unauliza bei wanakuambia 175,000 simple tu. Dah