Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,351
- 3,295
Chief hapa napingana na wewe kidogo....Kama ingekuwa ni fake na staged kusingekuwa na wachezaji mieleka wanaoumia kila mwaka!.....Kuna wachezaji kibao wapo kwenye matibabu sasa hivi kutokana na kuumia kama vile akina Jason Jordan,Sami Zayn e.t.c hata akina Ambrose na wengineo wamerejea tu juzi juzi kutoka kwenye matibabu ya mwaka mzima!
Matukio fake yapo mengi sana..
Kwa mfano;
SUICIDE DIVE.. Mara nyingi hii style anayeruka ni lazima adakwe na ni marufuku kumkwepa
REST IN PEACE BY UNDERTAKER..
Hii style inaonyesha kuwa Undertaker anabana kichwa cha mtu then anakibamiza chini but uhalisia ni kuwa kile kichwa huwa hakifiki chini..
Fake Scene zipo nyingi sana mkuu