Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hivi kwa nini AOP huwa hawapigani na watu wa maana??....Huwa wanapigana na vijitu vidogo vidogo tu!
Nahisi kuna sababu maalum, kama unakumbuka yale mazee ya the bludgeon brothers nayo yalikuwa yanapewa match na vitoto tu hadi yalipoamua kuingilia pambano la the new day na the usos ndo yakapata championship match
 
kaka sikuwezi aiseehh!!ngoja nikihama hapa uswazi ntannua supa sport yaani kwa sasa nikifunga dish mbili ntaibiwa maana nnavoibiwa hapa acha tu!

Leo mmeona after burn miz na truth sijui nani kashinda...nasubiri hell in a cell!!

Triple H na Undertaker the big match!!!!
Lol pole sana unaangalia match ambazo wengine tushashau
 
Mnangalia kupitia channel, king'amuzi, siku na mda gani wakuu!
Kama Una DSTV nenda supersport 9 channel namba 209!! muda kuanzia saa tatu kamili usiku mpaka saa sita usiku ndo inaisha wanaonesha live pia!!Hiyo ni kuanzia J3 ni burudani kwa kweli
 
Kile kichapo walichopata akina Baron Corbin na team yake ya AOP kutoka kwa shield pale mwishoni mwa mechi yao ya tag team kwenye raw ya jana siyo cha nchi hii!.....baada ya mechi nimekimbilia kuangalia marudio youtube mara kumi kumi ila hata hamu ya kuangalia haiishi!
 
Mahaba
 
Niulize tuu wakuu..

Hivi hii mieleka ni real ama kuna acting na faked stage?
Kama ingekuwa ni fake na staged kusingekuwa na wachezaji mieleka wanaoumia kila mwaka!.....Kuna wachezaji kibao wapo kwenye matibabu sasa hivi kutokana na kuumia kama vile akina Jason Jordan,Sami Zayn e.t.c hata akina Ambrose na wengineo wamerejea tu juzi juzi kutoka kwenye matibabu ya mwaka mzima!
 
Kama ingekuwa ni fake na staged kusingekuwa na wachezaji mieleka wanaoumia kila mwaka!.....Kuna wachezaji kibao wapo kwenye matibabu sasa hivi kama vile akina Jason Jordan,Sami Zayn e.t.c hata akina Ambrose na wengineo wamerejea tu juzi juzi kutoka kwenye matibabu ya mwaka mzima!
Asante mkuu
 
Kama ingekuwa ni fake na staged kusingekuwa na wachezaji mieleka wanaoumia kila mwaka!.....Kuna wachezaji kibao wapo kwenye matibabu sasa hivi kutokana na kuumia kama vile akina Jason Jordan,Sami Zayn e.t.c hata akina Ambrose na wengineo wamerejea tu juzi juzi kutoka kwenye matibabu ya mwaka mzima!
Nimeufuatilia huu mchezo since 99 ila nikagundua matukio mengi ni planned (kumbuka Cena alivyovunjika shingo na leo ypo Timamu kbisa) so sometimes watu huenda break kwa dharula za matibabu.

Angalia ndondi za akina Tyson watu huvunjana hadi meno kwa ngumi tu,macho huvimba na midomo kupsuka.ila ni nadra sana kuona wanamieleka wakitoka wakiwa wamevinba uso ama kuvuja damu wakati wamepigana hadi huruma.

Baadhi ya matukio hulazimu iwe kweli ila baadhi huwa fake kabisa. Tizama Cena anapopigwa
 
Hapana,siyo fake ila jinsi ya kupigana mieleka kuna sheria, taratibu na kanuni zake tofauti na kupigana boxing au kick boxing kwa mfano ngumi haziruhusiwi,kuna jinsi ya kupiga mateke,kuna jinsi ya kumrukia mtu kutoka juu,kuna jinsi ya kumpiga mtu kipepsi e.t.c mapigo yote lazima yawe yale yasiyoua wala kusababisha ukilema hata zile spear za Roman reign haruhusiwi kupiga spear kwa kutumia kichwa!!
 
Hapana,siyo fake ila jinsi ya kupigana mieleka kuna sheria na taratibu na kanuni zake kwa mfano ngumi haziruhusiwi,kuna jinsi ya kupiga mateke,kuna jinsi ya kumrukia mtu kutoka juu,kuna jinsi ya kumpiga mtu kipepsi e.t.c!
Oooh basi sawa nimeelewa so huwa trained kabla hawajajipiga vile viti?
Na vipi kupanga Matokeo
 
Oooh basi sawa nimeelewa so huwa trained kabla hawajajipiga vile viti?
Na vipi kupanga Matokeo
Huwa wanaenda mafunzo ya kujifunza mapigo yasiyo ua na yasiyosababisha ukilema!....Kwa mfano zile spear za Roman reign haruhusiwi kupiga spear kwa kutumia kichwa!!....Mchunguze vizuri Roman reign anavyopiga spear utagundua kuwa hatumii kichwa bali anatumia bega au mkono kwa sababu akitumia kichwa atavunja mtu mbavu au internal organ na hatimae ataua!!
 
Back
Top Bottom