Baba Mtakatifu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,324
- 2,435
Sasa hivi amerudi The Mitz....... Anataka mkanda wake...... Sa sjui atamuweza Roman Reigns????Samoe joe ni jinga sana,kila mara anapambana na Roman Reign ili achukue mkanda wa intercontinental,kila mara anapigwa badala ya kutulia akajipange kwanza anakuwa anaomba tu mapambano!
Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!Sasa hivi amerudi The Mitz....... Anataka mkanda wake...... Sa sjui atamuweza Roman Reigns????
Ila Inaonesha Kama amerudi kajipanga...... Si umeona kichapo alichompa Roman juziMitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
Usijali mkuu........ Hapa watakuja wadau wenye udamvu udamvu wa kutoshaNatarajia kupata updates za kutosha katika uzi huu
Pamoja sanaUsijali mkuu........ Hapa watakuja wadau wenye udamvu udamvu wa kutosha
Huwa nachukia sana anapokuja kumshambulia Ronan Reign anapokuwa amepigwa!Mitz ni very coward person na ni muoga sana,hawezi tena kupata ule mkanda!.....Huwa anavizia siku Roman Reign amepigwa na mtu mwingine kisha anakuja kumshambulia in coward way!!
Ule mkanda hawezi kuupata na kutamba nao tena kwa sababu hata siku akiubahatisha Samoe Joe atamuua!!Ila Inaonesha Kama amerudi kajipanga...... Si umeona kichapo alichompa Roman juzi
Umenikumbusha enzi za Shawn Michael na Holk Hoganhii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
Kale kajamaa ni ovyo sana na kana majivuno yasiyokuwa na maana,siku akiingia kwenye mikono ya Samoe Joe atakiona cha moto!!Huwa nachukia sana anapokuja kumshambulia Ronan Reign anapokuwa amepigwa!
Ila mi Roman Reigns simkubali kabisa..... Ile staili yake ya finishing na ngumi wala haina mvutoHuwa nachukia sana anapokuja kumshambulia Ronan Reign anapokuwa amepigwa!
Yale mateke ya Shawn Michael hayakuwa ya dunia hii!!....hadi nilikuwa nayaota usiku!!Umenikumbusha enzi za Shawn Michael na Holk Hogan
Kama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyeshaMnangalia kupitia channel, king'amuzi, siku na mda gani wakuu!