Husband seeker
Senior Member
- May 6, 2018
- 125
- 76
- Thread starter
- #81
Nyie ndio nilikuwa napenda mfahamu na mchumba sio hata mume tena mzungu sio weupe wenu naujue hili sikuwa najiamini kwa maana humu nimeblokiwa mtasema mengi ila situmi picha msinilogeYaani inaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa haujiamini na kujikubali.
Ndiyo maana hilo linakupa kiwewe.
Bado unashukurugi tuu siku zote.
Ina maana wewe ni mbaya sana??
