Hao maids watajuta watakavyovaa gauni moja [emoji23][emoji23][emoji23]Yaan[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao maids watajuta watakavyovaa gauni moja [emoji23][emoji23][emoji23]Yaan[emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja mkuu.Niliwahi kufanya kozi ya kuwa muungwana hapo nyuma
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] nimeonaaa.Ur package is ready
Wala hazijawa hadimu mkuu.
Mwanamke ukiwa unajitambua, unajiamini, upo smart kichwani, upo smart mwonekano ( mavazi), unajituma , una ushauri " endelevu". Wanaume wa kukuoa watakuja wengi utafanya kuchagua tuu.
Usijifungie ndani sasa..toka nje uonekaneeenna vigezo vyote hivyo na bado hawaji
[emoji1840][emoji1840][emoji1840][emoji1840][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] nimeonaaa.
Umenikumbusha usiweke taa uvunguniUsijifungie ndani sasa..toka nje uonekaneee
Kuturusha roho mabachela wenzake kila sikuYaan ana multiple ID kama mia zote hivi hivi storee zake zote huwa ni kamba hata hii ni chai ( labda la kutafuta Mme)[emoji57] [emoji57]
Usijifungie ndani sasa..toka nje uonekaneee
Anajirusha mwenyewe ....mwache aendelee kupagawa[emoji23] [emoji23]Kuturusha roho mabachela wenzake kila siku
Yaaaan wewe bora ulivyokosa![emoji15] [emoji15] ....wee hata ukimpata konda akakutangazia ndoa si ndo utakunya hapa JF?...hivi tu uwongo unajisemesha semesha je ungepata?Mbona mapovu hivi???
Nini shida??
Ila mnapoint kwanini nisibadilishe id couse sijaolewa bado .
2. Muda anaopata kuandika hivi
Hivi nyie ngoja niwe mmpole kabisaa umeonea humu nakuringiwa nakublockiwa utaacha kuwaringia kama walivyokuringia sema tu wewe mwenyewe.
Tatizo sio wivu ni hamuamini nasiitaji muamini.
Lazima mwaka huu mjisort mtaongea eti sijui mwanaume ndio mimi ni mwanaume tatizo nini ?
Wakiongea watu wengine .
Ambao hawajawin mzungu ni anaolewa hapa tu.
Mnafurahia mana hajapiga hatua wala nini.
Eti gauni la maids analijua je wewe unajua maana yake??
Msinichoree muamini msiamini nabado ngoja niolewe muone yaani hamtakunywa maji humu.
Mimi sio staa ni riski golden chance yangu ni prove kuwa ni kweli.
Kabisaa???[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] na bado.
Ngoja nisogee zangu maeneo ya Prime Ministerhilo nalo neno... sasa sina pa kwenda jamani... nizurure tu ama?
[emoji23][emoji23][emoji23] basi am not smart enough... imenichukua plenty seconds kujua umemaanisha PMNgoja nisogee zangu maeneo ya Prime Minister
Pumba ukizichanganya na mashudu ni bonge ya chakula kwa mifugo.Umenifanya nimecheka sana.
Daah naandika pumba sana nini[emoji23][emoji23][emoji23].
Ni mimi sijamuuzia mtu.
Unatukana sana unamiaka mingapi ???Yaaaan wewe bora ulivyokosa!
....wee hata ukimpata konda akakutangazia ndoa si ndo utakunya hapa JF?...hivi tu uwongo unajisemesha semesha je ungepata?![]()
Haya Husband seeker endelea kuseek