Wadau wa JF

Wadau wa JF

Ila jifurahishe mwaya....wanasema maneno huumba yawezekana ukapata unachokitaka shost
 
Mara Finland , Mara Dubai mara Zenji[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...tukamate lipi tuache lipi?

Ajisemee mdau hapo juu " akitoka ndotoni asisahau kuswaki haaahaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwache mwezako kaitwa na beib akamfanyie massage. Sasa sijui ndoa tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu atakuwa ni mkaka aisee mdada hawezi jidhalilisha hivi.
 
Ni mdada kweli....ana wenge balaa[emoji23] [emoji23]
 
Ndio sasa id hyo hyo alafu thread kila siku mara gaun la harus mara visaa anaturingishia au[emoji23][emoji23]
Ingekuwa kweli huo muda wa kuja kuturingishia angeupata wapi?[emoji15] ......liongoo bana!
 
Lemme buy u nandos chicks for dinner[emoji39][emoji39]
Kuku chomassss[emoji23][emoji23][emoji23]
Ohoooo kama unaniita pm mkuu niite tuu. Sio kunirushia mahindi namna hii niingie bandani unidake.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila acha unidake tuu me am kaming...[emoji126][emoji126][emoji126]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niko kusubiri tu na mahindi mkononi
 
Ndio sasa id hyo hyo alafu thread kila siku mara gaun la harus mara visaa anaturingishia au[emoji23][emoji23]
Leo amepata "gauni zuri la maids"
Sijui kama umeelewa hiyo sentensi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niko kusubiri tu na mahindi mkononi
Majaribu hayana budi kuja ... Ila ole wake yeye ayasababishaye.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom