Wadau wa JF

Wadau wa JF

Wala hazijawa hadimu mkuu.
Mwanamke ukiwa unajitambua, unajiamini, upo smart kichwani, upo smart mwonekano ( mavazi), unajituma , una ushauri " endelevu". Wanaume wa kukuoa watakuja wengi utafanya kuchagua tuu.
Inaonekana mkuu upo smart sana kichwani ???
 
Yaani inaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa haujiamini na kujikubali.
Ndiyo maana hilo linakupa kiwewe.
Bado unashukurugi tuu siku zote.
Ina maana wewe ni mbaya sana??
Yaan ana multiple ID kama mia zote hivi hivi storee zake zote huwa ni kamba hata hii ni chai ( labda la kutafuta Mme)
 
Wala hazijawa hadimu mkuu.
Mwanamke ukiwa unajitambua, unajiamini, upo smart kichwani, upo smart mwonekano ( mavazi), unajituma , una ushauri " endelevu". Wanaume wa kukuoa watakuja wengi utafanya kuchagua tuu.
Apol by apol
 
Sasa chai nyingine kazidisha pilipili zinamuumbua mwenyew
Mara Finland , Mara Dubai mara Zenji hatujakaa sawa huku Morocco ...tukamate lipi tuache lipi?

Ajisemee mdau hapo juu " akitoka ndotoni asisahau kuswaki haaahaaaa
 
Back
Top Bottom