Wadau wa football msaada wa jez nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau wa football msaada wa jez nzuri

Discussion in 'Sports' started by MNYISANZU, Jun 23, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Jamani naombeni msaada ni maeneo gani naweza kupata jez za ukweli hapa Dar nimekuwa natafuta jez zenye quality lakin czipati mfano nahtaj jez ya simba taifa stars en Manchester united nisaidien jamen
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  hizo timu ulizotaja zoote ni ushuzi...
  So usitegemee kupata jezi quality
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  acha dharau kijana mwenzio anaomba asaidiwe wapi atazipata we kaz kuharisha tu!
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda online au mtafute mfarisayo au saint ivuga..
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  uzi makini ni wa Katavi rangers
   
 6. T

  TUMY JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .

  Wala usipate taabu kaka nenda maduka ya zizzou kariakoo ama pale Victoria karibu na petrol station utapata jezi za ukweli najua wako wengine wengi ila hapo ni uhakika.
   
Loading...