tatizo internet ukicheza online inabidi uwe na internet yenye nguvu jaribu siku moja kucheza usiku kama saa tano hivi tumia halotel utaenjoy.mi mmoja wa wadau wa hil game tena npo addicted bt tatzo cjawah kulcheza online..embu naomba mnielekeze namna ya kucheza kwasabu nkicommand ile sehem ya kucheza online inatafuta match thn inafel nakosea wap..
nawasilisha