Mbona zipo thread nyng sn za kutanuana mawazo uwe unagonga pale juu kwe new posts utapata update nyingi ambazo zinatanua mawazo.
Mbona zipo thread nyng sn za kutanuana mawazo uwe unagonga pale juu kwe new posts utapata update nyingi ambazo zinatanua mawazo.
Unadhani kusend x2 ni yeye? Mtandao shemeji! Sometimes unaposubmit utaona comment haijatoka! Ukirudia zinakuja na ile ya kwanza.
Mbali ya kuondoa stress, pia miongoni mwa vilivyonifanya mie nikajoin Jeiefu, ni pale nilipogundua hapa members wanapanuana sana mawazo na fikra.
Kwa muda wa miongo miwili kasoro robo niliokaa hapa nimepanuliwa sana, nami nimewapanua wengi.
Hata hivyo currently days nimegundua zile maSredi za kupanuana fikra zimepungua sana!
Kulikoni ?
Namishaurini rejeeni mtuletee Thread zenye mipanuano.
Nawasilisha.
Naunga mkono hoja, coz hata we mwenyewe hujanipanua mawazo siku nyingi, nakuangalia tu
Duh!! "heti teepweetee"Waoow!
Baaboow Pitchuna wangu!
Usingizi wangu!
Utulivu wangu!
Makeke, Matambo, Makidai , Manguvu yangu yote!
Kwako mpenzi teepweetee!
Nakiri kwako YNNAH sina ujanja!
Afu ww si wa kuunga mkono hoja!
Wewe ni wa kuunga "kono!" na si "mkono".
Mie na ww yafaa tupanuane vitu maalum!
Vya category maalum!
Kwa agenda maalum!
Pahala maalum! Na kwa nyakati maalum!
Coz ww kwangu u'maalum!
Huko kwa kina funzadume ndio watu wanapanuana eee?