Utata uko wapi shem? Usiwasapoti wanaotuharibia lugha bwanaa!
Vyovyote vile hapa jamvi kuna hazina ya wapanuaji wazuri.
shem acha uchokozi banaNamie pia nawapanua !
Kwani hapa kubwa likuogopeshalo shem nini?
Watu wanapanuliana sana FB siku hizi au wanaji-pm, wanapanuliana mawazo wenyewe Kwa wenyewe., zambi ivo.! Uchoyo huo! Tupanuane woteMbali ya kuondoa stress, pia miongoni mwa vilivyonifanya mie nikajoin Jeiefu, ni pale nilipogundua hapa members wanapanuana sana mawazo na fikra.
Kwa muda wa miongo miwili kasoro robo niliokaa hapa nimepanuliwa sana, nami nimewapanua wengi.
Hata hivyo currently days nimegundua zile maSredi za kupanuana fikra zimepungua sana!
Kulikoni ?
Namishaurini rejeeni mtuletee Thread zenye mipanuano.
Nawasilisha.
Kama husemi it means umeunga hoja kono!
Mbali ya kuondoa stress, pia miongoni mwa vilivyonifanya mie nikajoin Jeiefu, ni pale nilipogundua hapa members wanapanuana sana mawazo na fikra.