Kwani kuwa na bf kuna uhusiano gani na wewe ku-do nae. Hio sio gari kwamba inaonyesha mileage iliyotembea. Watu pia wanasikia hamu ya ku-do kama ilivyo hamu ya kula, inatibiwa pale inapojitokeza. Ni vyema ukaelewa kuwa ni haki yake ya msingi mpaka pale atakapotamka mbele ya kadamnasi na kujidunga pete.
Yule gf wako nae ujue watu wana - do! Usidondoke kwa presha lakini. NDo mambo ya binadamu hayo.
Hebu jitahidi basi kusoma vizuri thread za nyuma za MMU na mambo mengine tunayoandika....utaelewa kwa nini tunaamua kutocomment!
Ukijitahidi kusoma archve ya JF, naamini utakuja kugundua kwamba karibia kila kitu tumeshakisema.
Na mambo mengine wadau walishamweleza...huyo kijana ndiyo anaogelea kwenye nadharia na imani za kale,
Kwa ufupi sikutaka kuandika mengi kwani ushauri wangu (na watu wengine) kuhusu haya mambo tayari uko hapa hapa, kama mtu hatakuwa mvivu wa kusoma basi ataupata bila kuhitaji kuanzisha thread mpya.