Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Wadau nimedisco chuo hivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili, pia utaratibu wa chuo siruhusiwi kurudia mwaka.
Duuh!!Kwa uandishi huo lazima udisco. Bashite wewe. Hata kuandika mada vizuri hujui?!?. Ulifikaje Chuo?
Endelea kula mshahara achana na kusomaOyiii wadau nime disco Chuo ivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili,pia utaratibu wa chuo si ruhusiwi kurudia mwaka
Hongera!Oyiii wadau nime disco Chuo ivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili,pia utaratibu wa chuo si ruhusiwi kurudia mwaka
dahEndelea kula mshahara achana na kusoma
sisomei uandishiKwa uandishi huo lazima udisco. Bashite wewe. Hata kuandika mada vizuri hujui?!?. Ulifikaje Chuo?
Daaa mbn kama umefurahi hivi haya bhana hongera maana kitasemaje pole wakati una andika kama umependa hali hiyo ikutokeee hongeraaaa sana afandeOyiii wadau nime disco Chuo ivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili,pia utaratibu wa chuo si ruhusiwi kurudia mwaka

thanksPole sana dogo pia hongera kwa kudisco mwaka wa kwanza, kuna watu huwa wanadisco mwaka wa tatu. Kusoma sometimes ni kupoteza muda tu me nna cheti kinaozea ndani yani najuta kupoteza miaka yangu mitatu. Fu.ck degree
thanksDaaa mbn kama umefurahi hivi haya bhana hongera maana kitasemaje pole wakati una andika kama umependa hali hiyo ikutokeee hongeraaaa sana afande![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
acha uongo. Mtaalamu wetu wa mifugo uzi wako umeutelekeza, you have abandoned it completely! hakuna majibu ya maswali yetu. Rudi Dr.mimi walinikata SINCE 2012 and maisha bado yanasonga mkuu so dont give up askari muoga endelea kupambana na hali yako...
Ndio umeandika nini? Ni halali u disco "siwezi kuendelea na mwaka wa pili" sasa kama umedisco utaendeleaje?Oyiii wadau nime disco Chuo ivyo siwezi kuendelea mwaka wa pili,pia utaratibu wa chuo si ruhusiwi kurudia mwaka
Kwani hujui kuna vilazaacha ujinga kwani VETA kuna vilaza