Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,196
- 1,846
- Thread starter
-
- #141
Nishatoka kuzimu, sasa nimerudi ππ π π .Ila huyu bro hayuko serious na kujiua,
Kapewa jina la series hapo alaf kasema ataiangalia ππππ Evelyn Salt
Anatushosha tu hapa
No Lissu, No Chadema, No Lema No LGBTQ π³οΈβπMsalmie Nyerere Jk mwambie huku tumefikia "No reforms no election
Maisha ndiyo haya haya,ukijiua unanufaika na nini?Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill.
Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
Zimepanda kichwani hizo.Acha bangi
Zimepanda kichwani hizo.
πZimepanda kichwani hizo.
πππππ mkuu unatuchanganyaOya sifi leo wala kesho.
Poa tu, ila umetuandalia bia na mpunga? Vinginevyo usituhusishe.Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill.
Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
Boomπ₯ ππππππππ mkuu unatuchanganya
Hahahahahaha π π π .Hakikisha tu hujaacha watoto maana mayatima wamekua wengi
Jitaidi sana km umezaa basi kunywa sumu ww na mwanao usiachie watu mizigo yako