WADAU NATAKA KUJIPENDEKEZA URAISI.

Nonpartisan

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
278
254
Hili ni wazo langu sitopenda kuliona MTU ameniibia na kujitokeza mbele ya vyombo vya habari kabla yangu,
Najipendekeza kuwa Raisi wa Chama cha Watembea kwa Miguu Tanzania (CHATEMITA),
Hii ni kwaajili ya wale wote wasio na vyombo vya usafiri yani wasiomiliki gari, pikipiki au pangaboi. Nitakua raisi wenu mpaka apo nitaponunua gari langu.
Nitawajulisha
 
1. Una uwezo wa kutembea umbali gani kwa miguu?
2. Mara ya mwisho kupanda gari ilikuwa lini ?
3. Umewahi kutembea safari ya kutoka wapi kwenda wapi (safari ndefu) kwa miguu ?
4. Je unatembea kwa miguu unapenda au kwa kuwa huna gari?
 
Natembea adi km.11 kwa mguu
Napanda usafiri wa uma pale tuu inaponibidi.
Natembea ubungo mpaka kibamba kila Siku(nauza karanga)
Napenda kutembea
Vip nafaa kua raisi?
 
Hichi chama kitakosa rais wa kudumu,manake raisi akipata mchuma tu anakuwa amepoteza sifa ya kuwa kiongozi na mwanachama
 
Jeshini lazima uhakikishe unakimbia km nyingi kwa siku. We endelea kutembea km 2 halafu ujisifu na ww umetembea kwa miguu
Kwa hio uko jeshini? Sasa unakimbia au unatembea? Halafu ndio kila siku iendayo kwa Mungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom