mwamba wa magharibi
Member
- Nov 3, 2016
- 13
- 10
Nina shahada ya elimu nikibobea ktk masomo ya historia na uraia napatikana Dar es salaam alo tyr kunisaidia anicheki pm
Umesoma chuo gani?Nina shahada ya elimu nikibobea ktk masomo ya historia na uraia napatikana Dar es salaam alo tyr kunisaidia anicheki pm
Kasoma havardUmesoma chuo gani?
Sio mwandiko wa havard huoKasoma havard
SekondariUalim wa shule ya msingi au sekondari maana hayo masomo yako
Kwani hujui member wengi wa jf wanautindio mukichwani isipokuwa mimi tu na bàadhi tu tunafahamianamajibu ya jf bwana
Kasoma havard
Kasoma havard
Mbona sijawai kumuona Harvard?Kasoma havard