...Swali la msingi: Huwa unamfurahisha na yeye?
Baadhi ya wanamme pamoja na kujisifu, yaani mie daily afu vitatu, siri anaijua mwanamke, workdone=0
huyo ana mtu anaye malizana naye ndio maana akija kwako hajisikii
Asante sana, nampenda sana mke wangu nimeinvest kuhakikisha nampa raha katika mapenzi, lakini ni goli moja tu basi anakuwa hoi hapendi kuendelea na pia, baada ya hilo goli ni wiki ama zaidi, na ni kwa mikiki, anakuwa na sababu kibao
nimekupata mamaKama kawaida kutafuta jibu rahisi ana uhakika gani anamridhisha mkewe aongee nae maana kuna wanaume wanafikiri kutwanga tu basi kamaliza kazi yote.
khaaa imekuwa bahati tena?kwakweli sijui kama anafurahi kiasi anchofikiri yeye lakini nina uhakika namfurahisha kadiri niwezavyo,nampenda sana na sijawahi kufanya hii kitu nje ya ndoa yetu tangu tulipofunga ndoa miaka mitano iliyopita. tunapobahatika kufanya tendo kwakweli nampa mapenzi ya uhakika
Kaka Tatizo sio wala chapaaa, nina turn over ya
net 8.7mill kila mwezi ana gari yake ya kuzungukia hapa mjini na tunaishi huku tabata maisha sio magumu kivile, hiyo pesa inatutosha sana kwa matumizi ya kawaida