Wadau naomba mnisaidie kunifafanulia vizuri hii course ya BICT

Director _Enzymz

New Member
Jun 1, 2023
1
0
Katika chuo Cha ushirika Moshi Wanasoma course ya BICT wadau naomba mnisaidie kunifafanulia vizuri hii course na fursa zinazopatikana baada ya kusoma hii course (business Information and communication technology)
 
Back
Top Bottom