S senetor sabo Member Joined Mar 6, 2014 Posts 21 Reaction score 0 Mar 23, 2014 #1 Wapendwa habarini za majukumu kuna hawa jamaa wa Frontier Data Corp walitangaza nafasi za Part Time Researcher kuhusu markertinga katika baadhi ya mikoa hapa nchini deadline ilikua tar 3 March. Vipi kuna mwenye taarifa juu yao.
Wapendwa habarini za majukumu kuna hawa jamaa wa Frontier Data Corp walitangaza nafasi za Part Time Researcher kuhusu markertinga katika baadhi ya mikoa hapa nchini deadline ilikua tar 3 March. Vipi kuna mwenye taarifa juu yao.
korino JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,014 Reaction score 684 Mar 23, 2014 #2 Hata me nlitumaga cv..lile tangazo walilotoa zoomtz lkn naona kimya mpaka leo...I don knw...
S senetor sabo Member Joined Mar 6, 2014 Posts 21 Reaction score 0 Mar 24, 2014 Thread starter #3 korino said: Hata me nlitumaga cv..lile tangazo walilotoa zoomtz lkn naona kimya mpaka leo...I don knw... Click to expand... poa tutapeana taarifa juu ya hao
korino said: Hata me nlitumaga cv..lile tangazo walilotoa zoomtz lkn naona kimya mpaka leo...I don knw... Click to expand... poa tutapeana taarifa juu ya hao