Wadau Msaada

PAMPUXX

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
39
Reaction score
6
Wadau nahitaji msaada wa Ajira au Internship nina degree ya Procurement and supplies na pia nineshafanya mitihani ya bodi(PSPTB) Profesional level 4 & 5 bado research ndo nahangaikia kukusanya fungu ili niilipie na niifanye na hiyo,kama kuna mdau anafaham wapi naweza nikajishikiza au nkapata ajira basi tusaidiane kwa hilo.
Natanguliza shukurani.
 
Watanzania bhana, wewe una degree halafu unatafuta kazi? hebu kuwa mbunifu bhana maana ukitafuta kuajiriwa hutakuwa tofauti na mtu asiye na kisomo kama chako. Degree yako ni kiooo, acha kulia lia, kaa chini umiza kichwa namna ya kuwatengenezea ajira wasiyo soma kama wewe. samahani kama nimekukwaza
 
Puma energy wametoa graduate training program,jaribu kuomba it may help you.umemaliza chuo gani? inaweza kutusaidia tujue jinsi ya kukusaidia.DONT GIVE UP
 
Puma energy wametoa graduate training program,jaribu kuomba it may help you.umemaliza chuo gani? inaweza kutusaidia tujue jinsi ya kukusaidia.DONT GIVE UP

Poa mkuu ngoja nifatilie huko PUMA,Nimesoma UDSM.
Thanx kwa info.
 



Jamaa anayo degree na bado anajiimarisha zaidi katika hiyo taaluma yake ambapo amesema amebakisha utafiti. Si ajabu anayo mipango ya kutengeneza ajira lakini pengine hatua zake ni pamoja na kuajiriwa kwanza.. Sijui ni ubunifu gani unaojaribu kumshauri hapo! Hebu jaribu kumuonyesha njia zaidi kama unamjua vizuri huyo mtaka msaada. Nami ni graduate mjomba! na natamani ningeajiri watu au angalau kujiajiri kitambo tu kwa manufaa yangu na ya wengne lakini sio kwa kila mtu mambo huwa kwa namna kama ulivyofikiri.... loh! nimtakie kila la heri huyu mtaka msaada ktk safari yake ya maisha
 
mkuu sio kwamba tunapenda kuajiriwa kla mtu anapenda sana kujiajiri...any way kama huna cha kuchangia unaweza kukaa kimya tuu,sio lazma kila uzi udondoshe maoni yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…