JUDITH MGASSE
Member
- Jun 5, 2012
- 17
- 4
wadau anayefahamu application email address ya US Peace Corps Tanzania! nataka kufanya aplication niliiona email adress yao asubuhi humu kwa sasa siioni! au ile web ya youthjobs nicheki! wadau msaada jamani.
kilahunja siioni kaka! yani nimepata inaitwa applicants@tz.peacecorps.gv wanasema the domain is not found dah! na ndo walioitoa ktk gazeti! ofisi zaao ziko wapi mkuu!
ok poa mamushka! hahahh! nimefanikiwa asante sana!