Wadau mnanisaidiaje hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau mnanisaidiaje hapa?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Manyanza, Sep 27, 2012.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Heshima zenu wakuu?
  jana nilikuwa naprint document kwenye printer yangu ikawa ina print page niliyokusudia na ina print tena page nyingine amabayo ilikuwa na ujumbe kama huu...

  Filename: application form

  Directory: C:\Users\Wii\Desktop

  Template: C:\Users\user\AppData\Roaming\Microsoft\Templates\Normal.dotm

  nime uninstall Printer na kuinstall lakini tatizo bado lipo palepale na nimeiondoa microsoft office na ku install tena lakini bado tatizo lipo palepale..... inanitia hasara za catridge na karatasi pia naomba msaada wenu wakuu ni jinsi gani naweza kuondokana na hili tatizo...
   
Loading...