Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Padre ananiambia niache uzinzi, anahubiri anasema mimi ni mdhambi sababu nawatolesha Mimba mademu ambao nawagegeda kisha wakipata mimba solution ni moja. Toa.
Haya mambo ni kupangiwa na mabeberu wananionea wivu sababu mimi ni kidume cha mbegu. Wanataka waafrika tuwe wachache wao wawe wengi.
Naenda kwa Papa kuzungumza hili jambo. Na huyu Padre asijichanganye siku moja kupita mtaani. Nina masela wangu wavuta bhangi nimeshawaambia akiingia kwenye 18 waruke naye. Nitawapatia pesa za bhangi na visungura. Jamaa wamenishukuru sana. Nimewaambia tushirikiane kulinda amani. Unadhani hawa wanawake wakizaa nani atawalisha watoto wao na kuwahudumia? Hapo si amani kwangu itavunjika?
Haya yote ntamwambia Papa na picha ntapiga kuwaonesha tumeongea na mwisho ntamwomba aniombee amani, umoja na upendo.