Wadau je hili ni Tatizo au

Wadau je hili ni Tatizo au

Hilo ni tatizo kubwa sana huyo awahi hospital akatibiwe na huduma ya kwanza ni kutumbukiza dushe kwenye maji baridi sana .
Sio kwenye maji baridi mkuu aitumbukize ndan ya maji ya betri[emoji4]
 
Ex wangu alikua hivyo... Ata akienda matano bado inakua kakamavu tu!! Akaenda hospitali akaambiwa ana nguvu nyingi sana... Akapewa dawa sasa yupo vizuri...



yaan ndo umebugi,,,,,wanawake wenzako ndo wanazitafuta hizo,,nakuambia utajajutia baadae esp umri ukishaenda
 
Mimi nilikuaga hivo miaka ya nyuma but now nipo tuu kawaida sio tena kama zamani
 
Kudanganywa kupo ila kusipitilize... Yaani mkaka alikua muongo ata shetani wanamsingizia... Hadi leo sifahamu alikua na umri gani... Leseni ya gari ina mwaka tofauti wa kuzaliwa, kati ya kupigia kura nayo ina mwaka wake na ile ya uraia ina mwaka wake na kadi ya bima ina mwaka wake... Nikajisemea nisije nikawa natoka na jamba zi buree.
Na ATM kadi je?
 
Back
Top Bottom