Wadau itisheni Mdahalo kwa Wagombea wa UKAWA na CCM wa saa 2 tukapime afya

Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,185
154
Sisi watanzania hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia, tunahitaji pawepo na mdahalo ambao utarushwa LIVE kwenye channels nyingi hapa nchini.

USHAURI WANGU NI VEMA HUO MDAHALO UWE NI WA MASAA MAWILI TENA WAGOMBEA WAONGEE HUKU WAMESIMAMA ILI KUPIMA AFYA ZAO, ILI KILA MMOJA AMWAGE SERA ZAKE THEN TUJUE NANI YUKO KIMASLAHI BINAFSI NA NANI YUKO KWA MASLAHI YA WATANZANIA.
 
Afya zinapimwa Hospitali sio kwenye midahalo. Dua la kuku haliwezi kumpata mwewe, mmeshazidiwa sasa mnatapatapa ili kupata pa kutokea. Mwaka huu ikulu ni ya Lowassa na CHADEMA
 
Afya zinapimwa Hospitali sio kwenye midahalo. Dua la kuku haliwezi kumpata mwewe, mmeshazidiwa sasa mnatapatapa ili kupata pa kutokea. Mwaka huu ikulu ni ya Lowassa na CHADEMA
Hospitali alishapimwa wewe acha ukilaza, aligundulika ana ugonjwa wa Parksons we unaishi nchi gani hata hilo la babu yako hujui? Kajipange tena wewe
 
Hospitali alishapimwa wewe acha ukilaza, aligundulika ana ugonjwa wa Parksons we unaishi nchi gani hata hilo la babu yako hujui? Kajipange tena wewe
kiongozi aliyegundulika ugonjwa wake unamjua,hata sisi alituachia namba ya simu tumpe ujumbe wa ugua pole,wengine aliwataja sumaye,sumaye ndiye alikuwa anatoa vibali kwa mawaziri wake wakatibiwe,anajua mpaka wanachoumwa
 
Mnataka mgombe wenu magamba aendelee kutupigia story za sanja na fundi seremala au sadam wa Kuwait
 
midahalo ya nini jioni hii yote, watu walio wengi wameisha amua nani watampigia kura, mengine hayo yenu ni ngojera na kusherehesha uchaguzi tu...kura yangu mimi LOWASSA...LOWASSA LOWASA,,,,,,,,,,kaeni ninyi msubiri midahalo.... midahalo muda wake sio huu...full stop. Mmeona kampeni zina washinda sasa mnataka mjaribu na midahalo...yote hayo hayata fana wakuu...watu wamechoka na maisha ya maneno wakuu wanataka vitendo...
Ndomaana lowassa anaongea dakika sifuri na watu wanamuelewa...nyinyi bado hamjagundua kua wa tz wamechoka na ngojera
 
Back
Top Bottom