akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
- Thread starter
- #21
Hivyooo vitu vya kawaida ila acha kuchepuka...
Sasa mi ntakaa na njaa hadi lini?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hivyooo vitu vya kawaida ila acha kuchepuka...
Njia kuu inazingua ile mbaya kiasi cha kutokuwa na mawasiliano mazuri, tunaweza kaa hata wiki bila kupigiana simu,
mahusiano ni kuwasiliana, silence peleka library...!!!
sasa mi ntakaa na njaa hadi lini?
Sent from my iphone using jamiiforums app