Wadau huu mjengo mnauonaje?

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534


Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege. Mbongo umwambie ajenge chumba bila ya kukandika matofali atakuelewa? Halafu jina la mtaa ni muhimu kabla hata nyumba haijajengwa.
 
Inawezekana kama ni nyumba ya ghorofa 1...
Kwani hujawahi kuona ghorofa iliyojengwa kwa miti?
 
huo mjengo tunauona kwa mbaaaaaali
 
hujaeleweka,what you want to tell us?
 
Nouna kama sio wa kudumu sanaaa
 
Mbao tunazo nyingi mjengo huu unatufaa
 
Nani kakudanganya kuwa kutumia mbao ni kupunguza gharama??...Mbao zinazotakiwa hapo ni mara mbili ya gharama ya cement
 
Nyumba hizi huwa zinajengwa sehemu zenye baridi kali, maana mbao huwa zinahifadhi joto na maeneo ynayokumbwa na majanga Mara kwa Mara kama tetemeko
 
End product ni hii

Utaamini hiyo nyumba ni ya mbao tupu?
Kuhusu mbona nyumba za miti kijijini zinakaa miaka kibao. Isitoshe mbao hizi zinapigwa dawa ya kuuwa mchwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…