tehetehetehe ata sijaenda vidato miyeeeeeeeeeeeeee form 4 failure niyajulie wapi hayooooooooooooo
Mmmmmmmm!
hahahahahaaha kulikoni jaman mbona umeguna???? natamani sana kufika chuo namimi hivi chuo nako kuna NECTA eee???? yani vyuo vyote kufanya mtijani mmoja??? nijuze jameni mi sijafikako hukoooooo!!
Mi naguna kwa thababu, Invizibo aliandikisha fomu fo mmoja tu, ambae ni mimi, thatha wewe unatokea wapi? Au ndo unataka ubadili kombinesheni..
^^
hahaaaaa bathi tupo wawili mi naweyee!! mi 4 failure hata kombi haijabalance mana nlifaulu bios kiwahili na bookeeping! bora we ilibalance hata private ungeenda! sasa bidada mie masomo nlofaulu si rafiki kabisaaaaaa!!
Utakuwa ulitazamia kwangu siku pepa, eti? Mi nilipata kombi ya BEKI (Bayoloji English na KIswahili) na uku mitaan nacheza BEKI iyo iyo, we unacheza ipi?
^^
haha sa si bora wewe hapo wangekufikiria mana kuna kiswa na eng zote luga so ushirikiano upo...teh mi ziligoma yani just imagine bios kisw na b/keeping mweh afu naskiaga wanachuo wanapigana sana exile eti ni kweli???
aaa! Hayo mi sijui!! Najua kupaka rangi warembo, uje nikupake kucha rangi, thawa ee?
^^