Wadau: Epuka uchumba wa muda mrefu

mm ugonjwa wangu nikijamjua mwanamke hata km ni mzuri kiasi gani namchokaa, napoteza malengo nayee, sijuii kwann.

Am heartless
Hujui kwann kweli Mkuu!??

Wewe ni Ibilisi ID yako tuu inatoa majibu na najua unajua kazi kuu zako(Ibilisi)ni zipi
 
Uchumba = mmeshatambulishana kwenye familia zenu na posa imetolewa na kukubaliwa.

Mtoa mada umemaanisha uchumba au mahusiano tu ya bf and gf?
 
sio huo mkuu.pia mtu akishatoa mahali.tiyari ni ndoa ya kimila.kwakuwa umekubaliwa kote.hata mkiamua kuishi bila ndoa rasmi/kuzaa sio kesi. Naongelea uchumba wa vichochoroni wenye baraka za watu wawili na ndugu wachache sana.
 
"
"Wee jamaa kichwa, wangekuweka kamati ya ushauri chadema"
 
Naomba nikusalimie kwanza. VIP upoooo
 
Mhhhhh kwakweli na mimi inabidi nijitafakari upya kuhusu hili,ni kweli kabisa alichosema mtoa mada.

utakua ushavuka degree ya uchumba unaelekea master hhhhaaaa,uchumba sugu unatesa kwakweli,utashangaa unaachwa halaf anaoa mwingine aliekaa nae miezi mitatu tu we umekua nae miaka 6 au 8 ,sijui Hua wanafikiria nini vichwani mwao
 
hapo.ndio kwenye kiini cha tatizo.kama mkiachana baada ya kukaa kwenye uchumba mrefu mtu anaoa/kuolewa kwa mda mfupi inaleta conclusion kuwa huhitaji miaka ya kusaka Phd katika kuoa.
 
Mhhhhh kwakweli na mimi inabidi nijitafakari upya kuhusu hili,ni kweli kabisa alichosema mtoa mada.
chukua hatua Nifah,fanya maamuzi magumu.nimeleta mawazo ya ukombozi na mbadala kwa wanaosomea Phd katika mapenzi! hizo ni ndoa zisizorasmishwa.
 
utakua ushavuka degree ya uchumba unaelekea master hhhhaaaa,uchumba sugu unatesa kwakweli,utashangaa unaachwa halaf anaoa mwingine aliekaa nae miezi mitatu tu we umekua nae miaka 6 au 8 ,sijui Hua wanafikiria nini vichwani mwao
Mwenzangu miaka miwili kama mtu haeleweki napiga chini,sisomei udaktari wa uchumba mimi.
 
chukua hatua Nifah,fanya maamuzi magumu.nimeleta mawazo ya ukombozi na mbadala kwa wanaosomea Phd katika mapenzi! hizo ni ndoa zisizorasmishwa.
Mimi bado sana mkuu,ila nimelichukua hili....
Nitalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…