Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,144
- 162,541
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kuhusu wadanganyika kwani ni watu ambao ubinafsi umewatawala kwa kiwango kikubwa ambapo karibu kila mtu anaangalia masilahi yake bila kujali ni watu wangapi waanathirika au kuumia na jambo fulani ambalo yeye analitetea au kuliunga mkono kisa tu yeye anafaidika hata kama maelfu, mamia au makumi ya wanaomzunguka wanaathirika na jambo hilo.
Kwa hiyo, no wonder mtu anapigwa risasi hadharani wako watu wanatetea na kusema huyo si wa kwanza na kwamba hilo ni jambo la kawaida tu
Similarly, no wonder wakati watumishi wanalilia nyongeza ya mishahara n.k kuna watumishi wenzao wanawebeza na kuwaambia kama mishahara haitoshi waache kazi au kuwaambia zama zimebadilika na maneno mengine kama hayo kisa tu ndugu yake ni kada, mjomba wake kapata uteuzi, n.k.
Wengine wakipewa vyeo au wakiwa kwenye system, ama wanachagua kukaa kimya au kuwabeza wanaopinga au kulalamikia hali ngumu ya maisha ila wakitoka, nao wanaanza kulalama utadhani sio wale waliokuwa wamechagua kukaa kimya au kubeza wengine.
Hiyo ni mifano michache miongoni mwa mingi kuwahusu wadanganyika inayothibitisha kuwa dini yao ya pili ni ubinafsi na ndio maana wako tofauti sana na watu wa mataifa mengine katika kupigania haki zao.
Badilikeni na si kusubiri mpaka kila mtu yamkute ndio muungane kupigania haki zenu.