Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Mi wala hata hiyo fomu sikujaza na nilipewa hizo ruzuku. Sasa leo imegeukaje mkopo. Nimepeleka particulars zangu loanboard, mpaka leo hawajanipa bili yangu.
 
Sounds good...nitarudi mkuu
 
Well said[emoji120] [emoji120]
 
Mm nilienda bodi nikakuta deni langu mil 30, ninaachana nao silipi.
Sijaajiliwa serikalini na situmii vyeti na majina nabadilisha, km cheti cha kuzaliwa etc
Duh ulikuwa na asilimia ngapi mkuu
 
Aisee tukutane basi tuende tukafungue hii kesi, mimi nipo tayari any time, imagine kila mwezi nakatwa 15% ya mshahara maisha yenyewe magumu,atlist wangeacha ile 7%
 
Hii yote inatokana na kua na katiba mbovu mtu mmoja anakua MUNGU MTU viongozi wanajipendekeza kwake
Yaani hata pro. Joyce Ndalichako ana fahamu kabisa huu ni wizi ila kwa kuwa awamu ya Tano, kauli mbiu yake ni kukusanya Mapato yupo kimya. Analinda kibarua. Haijalishi mnakamuliwaje!!
 
Sounds good...nitarudi mkuu
Karibu....mkuu...

Na ikiwezekana tu copy na kupaste na kuboresha zaidi hoja hili andiko na kulisambaza ktk makundi ili watu wapate uelewa na waamuke kupinga .

Tuone ni jinsi gani tutakabiliana na huu Ukoloni mpya!!
 
Mi wala hata hiyo fomu sikujaza na nilipewa hizo ruzuku. Sasa leo imegeukaje mkopo. Nimepeleka particulars zangu loanboard, mpaka leo hawajanipa bili yangu.
Ha ha ha ha.....

Sikilizia Invoice, Tshs 21m!!!!
 
Lipeni bana ...ndo suluhisho no politic hapo bana
 
Aisee tukutane basi tuende tukafungue hii kesi, mimi nipo tayari any time, imagine kila mwezi nakatwa 15% ya mshahara maisha yenyewe magumu,atlist wangeacha ile 7%
Hapa ndio sehemu ya TUCTA, CWT, nk kutuunga mkono. Kwani kesi ina gharama ,T. Lissu angekuwepo angetusaidia.


Wao CWT wamekalia chaguzi za CCM na kudhulumu walimu tu. Kerere kibao kusaidia wafanyakazi hakuna!!
 
Jamani wanufaika wa mikopo hawajakataa kurudisha hela tatizo niwenye rungu kuwawekea mambo ambayo kwenye mkataba wa awali havikuwepo.Nihaki yao juhoji pia wasikibali kirahisi
 
Kama ni mahakama za Kenya nitaungana nanyi kuiburuza serikali lkn kama ni hizi za chama kimoja naomba muende tu mkajiongezee deni maana mtalazimika kulipa na gharama za kesi mtakayoshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…