Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

Kama Nilishawahi kusikia TLS na wengineo walishakwenda mahakamani, iliishia wapi?
 
Kama ulisaini na kukubali unakopeshwa kama mkopo basi una kesi ya kujibu...
 
Mimi hawa Loan board nimewazilia mshahara wakate mpaka waache kuaashwa 1: wenzangu tuliokuwa grade sawa (40%) na cozi sawa wanadaiwa ,mimi nimeandikiwa 21m nimeenda mara nyingi dar kurekebisha wananiahidi tayari wamerekebisha lkn bado deni liko palepale.SITOKUJA KUWA MZALENDO KATIKA HII NCHI HADI NAIMGIA KABULINI NIKIPATA UPENYO NIKUINYOOSHA SERIKALI TU KWA KUIIBIA NO WAY OUT!!!!
 
Ina uma sn. Mtu katumia 7m. Deni anakuta 18m.

Kuna watu wanashangilia tu ila hawajui watu wanavyo umia.
 
Yani HESLB wanatukata 15%. Huu ni uhuni wa hali ya juu. Ila kuhusu jpm kutusaidia, Sidhani kwa sababu nasikia yeye ndio aliwaambia wapandishe kutoka 7% mpaka hii ya SAA hizi 15%.
Na katika hili mswada ulipoletwa bungeni sikuwaona wabunge wa upinzani kutoka nje kuonesha kutokubaliana na uonevu wa namna hii: upinzani tz+ccm= njaa na ubinafsi
 
Yaani umesema form za 2000 hazikisema ni mkopp, bado unaomba mwenye form afanye ku attach sijakuelewa.

Form yenyewe imeandikwa Higher Education Student's Loan Board. Sijui hoja yako
 
Ina uma sn. Mtu katumia 7m. Deni anakuta 18m.

Kuna watu wanashangilia tu ila hawajui watu wanavyo umia.
Wengi wanaoshangilia ndo hao std 7 hawaelewi lolote tunavyolalamika tunaambiwa hatupendi kulipa.mimi mkataba wangu ilikuwa nikatwe 8% sasa nashangaa 15% huu ni uhuni unaofanywa na serikali dhidi ya raia wake
 
***** mi wameniharibia malengo sana hawa HELSB kama kuna watu wamesoma sheria hebu fanyeni hili swala la kuwatikisa wanakata hadi ambao hawakusoma kwa mkopo hii inamanisha hawana data zinazoeleweka.Unakuta mtu kapata asilimia sawa na mwenzie ada ni ile ile deni linatofautiana.
 
Wengi wanaoshangilia ndo hao std 7 hawaelewi lolote tunavyolalamika tunaambiwa hatupendi kulipa.mimi mkataba wangu ilikuwa nikatwe 8% sasa nashangaa 15% huu ni uhuni unaofanywa na serikali dhidi ya raia wake
Mm nadhani kuna haja kukutana nao huko Mahakamani...
 
Nadhani mule ofisin loan board kuna mashetani yanawachanganya watumishi akiandika den m7 jini linageuza inakuwa 17 sasa hawa viongoz kila cku tuwaombee et
 
Nani atamfunga paka kengeree!??,Kumbuka kuna pyu pyuuu pyuuuuu!![emoji16][emoji16]
Si wanasema watapeleka watu mahakamani!! Huko huko kitaeleweka vzr tu.

Nakuiomba Mahakama itengue hizo riba zote na 15%.

Cha mhimu wadau tupate zile form
 
Ndugu yangu hiyo ishu imesimamiwa na mzee wa sipangiwa halitawezekana lolote kupata haki,tukiandamana ndo hivo tena polisi nao vyuma vimekazika hasira walizonazo za kulala kwenye nyumba zenge kuta za bati najoto hili la dar watatupasua kende buree
 
Mm nilienda bodi nikakuta deni langu mil 30, ninaachana nao silipi.
Sijaajiliwa serikalini na situmii vyeti na majina nabadilisha, km cheti cha kuzaliwa etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…