na wakaka pia.....
embu nijuzeni kutoshave down there na ngozi kutokuwa smooth...ndio kunakufanya uwe labled kuku wa kienyeji???
au kuku wa kienyeji ni nani??
nimeona hayo mapicha Allien aliyoyaweka mambo ya kikubwa kidogo niote lol:A S 39:
Kuku wa kienyejiiiiiii....! shida ni kwamba, huwa ni watamu sana halafu wana ladha! hata supu yake pia watu hupenda sana,
Of course Strictly 4 ladies only. Hii ni heshima kwenu ili mtulie. Muache kutafuta riziki kwa kutangatanga kwa wanaume. YU HEEEEDDDIIIIIIII?Kuwa kuku wa kienyeji ni kwa wadada tu au hata kwa wakaka, manake naona sifa zinazojadiliwa ziko kwa jinsia zote mbili...lol :bounce:
Kuwa kuku wa kienyeji ni kwa wadada tu au hata kwa wakaka, manake naona sifa zinazojadiliwa ziko kwa jinsia zote mbili...lol :bounce:
Of course Strictly 4 ladies only. Hii ni heshima kwenu ili mtulie. Muache kutafuta riziki kwa kutangatanga kwa wanaume. YU HEEEEDDDIIIIIIII?
hahhaahhahaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha,ngoja tumkusanyie mapicha allien ya wanaume wenzie ambao ni kuku wa kienyeji.....mwe sipati picha zitakuwaje:wink:
kuku wa kisasa si hawajazoea kujitafutia chakula wenyewe kwa hiyo hata kwenye 6*6 hawajui kujipimia.N sifa yao nyingine ni kwamba wanajituma sana wanapokuwa kwenye yale mambo yetu yaani wanakupa hadi mwenyewe unashangaa tofauti ya hawa wa kisasa wamejaa mikogo, maneno ya kidhungu mengi, matumizi ya hela sana kabla hujamgegeda lakini return kitandani ni sifuri.
so usimshangae sana ukiona mtu kaoa kuku wa kienyeji.
Nimesimamisha masikio kama mbwa kamuona kenge i mean nataka na mimi nijue kama hili jina linanihusu?
Kuku hawa ni watamu sana hata mifupa yake huliwa piaN sifa yao nyingine ni kwamba wanajituma sana wanapokuwa kwenye yale mambo yetu yaani wanakupa hadi mwenyewe unashangaa tofauti ya hawa wa kisasa wamejaa mikogo, maneno ya kidhungu mengi, matumizi ya hela sana kabla hujamgegeda lakini return kitandani ni sifuri.
so usimshangae sana ukiona mtu kaoa kuku wa kienyeji.