Wamebaki kutoa visingizio visivyo na kichwa wala miguu ilimradi tuHahahaha hawajielewiii
Ndio hivyo shost ni kuwaacha tu na mitaala yao.Umeonaee! Hivyo wakae tu kimya ni hulka yao na haina dawa
Hujataja wanaume wanatfta nininadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.
Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.
wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.
Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Hawana jema ukishindana nao unaweza ukawa zaidi ya mtumwa.Sio kwa wanaume wa kizazi hiki,wameshindikana.
Wao wenyewe wamejishindwa, sie tutawawezea wapi!!Hawana jema ukishindana nao unaweza ukawa zaidi ya mtumwa.
Ndio hapo sasaWao wenyewe wamejishindwa, sie tutawawezea wapi!!
Kumuonyesha mwanaume anachokitaka haitoshi ni yeye mwanaume aamue kukiona anachokitafuta kwa mwanamke fulaninadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.
Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.
wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.
Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Umesahau hawa wenzetu ni walemavu, kila kitu ni wa kufanyiwa, hadi wakitakacho sasa eti waonyeshwe!!!Kumuonyesha mwanaume anachokitaka haitoshi ni yeye mwanaume aamue kukiona anachokitafuta kwa mwanamke fulani
Hahahaalelewe tu
Mbona umeongea kwa upole hivyo shostalelewe tu
Ngonjeranadhani kuna kitu mnakosea.
Wanaume wachache sana wamepata kitu ambacho wanaume wengi wametafuta kwa miaka mingi kwenye msitu huu wa wanawake na hawajawahi kupata, wengine hata sasa hawajui kinafananiaje wanacho kitafuta.
Wanaume kupata wanacho kitafuta ni zaidi ya kutafuta X kwenye algebra.
wanaume wote wanaamini wanacho kitafuta kipo kwa kila mwanamke, cha ajabu wakisha wapata hao wanawake hawakikuti wanacho kitafuta.
Wanawake wachache sana wanajua kuwaonyesha wanaume kile wanatafuta, shida IPO kuwatafuta hao wanawake wenye kipaji hicho.
Anaimba tu....Hahaha! Labda mnatafuta nini msichokipata kwa wanawake kuwa mkweli
Ndio kwenye ukweli lazima tufunguke
Kwani hata yeye anajua sasa?? Yaani hawajui wanachotaka ni tamaa tuHujataja wanaume wanatfta nini
Si waumbe wanawake wanaowataka wao. .?? WasituchosheKumuonyesha mwanaume anachokitaka haitoshi ni yeye mwanaume aamue kukiona anachokitafuta kwa mwanamke fulani
hiyo migume gume haifugiki mama angu utajishusha kwa kila kila kitu lazima atatoka nje kwahiyo akipatikana wa kumlea amlee tuMbona umeongea kwa upole hivyo shost
Hata mngekua kila mkitoka chooni tunawachamba bado mngesema tunawabakiza ma...