Wadada wenzangu hii sio poa

Wadada wenzangu hii sio poa

TATIZO ELIMU, UMASKINI WA MATUMIZI MAbaya YA AKILI ZAO.. KUNA WANAWAKE KWA MABINTI HUMU NDANI WAPO VERY SMART HADI RAHA.. NILISHA BAHATIKA KUKUTANA NA KADHAA NA MMOJA WAO NI MKURUGENZI WA IDARA FLANI HUWEZI MKUTA KWENYE MISUTO NA KASHI KASHI KAMA ZA WAHUNI FLANI... NAOMBA WASINIHARIBIE NA KADOGO KANGU KA Pellaiah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo mimi ni mdogo!! Hivi kwanini madogo mnapendaga ukubwa!!!
 
Mie nipo bomba mdudu

Sikukuu ukala ubwabwa mwenyewe
Sikukuu yangu ilikuwa bomba sana, location ili nibeba huku nikiitazama Congo karibu kabisa, na utalii wa viumbe adhimu na adimu Afrika hahaha wana wa PK.
Utanitaka sasa🤣🤣
 
Sikukuu yangu ilikuwa bomba sana, location ili nibeba huku nikiitazama Congo karibu kabisa, na utalii wa viumbe adhimu na adimu Afrika hahaha wana wa PK.
Utanitaka sasa🤣🤣
Hahahaa kama nakuona mwenyewe ulivyoenjoy

Asa si unipeleke na mie huko lokesheni nioshe macho
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo mimi ni mdogo!! Hivi kwanini madogo mnapendaga ukubwa!!!
Unafikiri mie ni makamo yako, nyie vitoto vya kuanzia 85++ mnataabu kweli kweli... angalia wasikuharibu wahuni sio watu wazuri
 
Back
Top Bottom