monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,645
Noma sana!
Wee,sema kweli😂😂Anatulia kwa muda tuu wakati ana njaa akishazoea pesa utasikia mwanamume mwenyewe hajui kunitomber🤣🤣🤣🤣
Ndio ukweli huuo...unakuta kijamaa huko kikipewa kinasimamia kucha mpaka mapaja yako yanatetemaWee,sema kweli😂😂
Tutalisolve hili siku moja liveKaka umeniangusha kaka
Waaambie banaa kheee mimi kusema tu imekuwa nongwaWee nyie hamtuachi sie wanaume wenye vibamia....mnatukandiaga sana vibamia vyetu ila hela zetu mnakula
Shida siyo kupata mimba, wakishazalishwa vichwani mwao huisi kwamba hawataolewa ko kujirahisisha na kujigonga gonga kunakuwa kwingi,Inasikitisha sana kwa kweli ukizingatia mwanamke ndio anapata madhara makubwa hivyo ungetegemea yeye angekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha hapati mimba kama hajaolewa
Na wewe nawe kheeee, usiwe hivo basi wewe, waliozalishwa wanadhani kuringa kumeisha AKILI inahitajika sanaLate now
Kwa hiyo siyo kwamba unampenda utulie ila unatulia kwa sababu kuna fedha, ndiyo maana mnaguswa na kuachwa, hey fungua akili yako, mpende mtu kwa kuwa anajitambua nini anataka kwenye maisha, wewe unataka fesha ya mwanume wewe unayo??Mwanamke kwenye pesa hutulia mbona،،
Sawa mkuuNa wewe nawe kheeee, usiwe hivo basi wewe, waliozalishwa wanadhani kuringa kumeisha AKILI inahitajika sana
Pambana na hali yako wanaume muda mwingine ni matapeli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina kabisa ndo maana namtaka yeye anipe mtaji tuwe zaidi ya tulivyokutana
Asante kwa kuelewa ila sijui uko mbeya leo inakuajeeSawa mkuu
Kwan kuna nn mbeyaAsante kwa kuelewa ila sijui uko mbeya leo inakuajee
Sawa mkuuPambana na hali yako wanaume muda mwingine ni matapeli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi mbeya wanasemaje sijui vile, nasikia kuna baridi nje atiKwan kuna nn mbeya
Wapo sahihi kwwli hawataolewa wee unadhani mama mzazi gani mwenye akili atamkubalia mtoto wao wakiume atambulishe single mum kama wife to be na aka furahiShida siyo kupata mimba, wakishazalishwa vichwani mwao huisi kwamba hawataolewa ko kujirahisisha na kujigonga gonga kunakuwa kwingi,
Very sad, au labda iwe kila mtu kashafumua huko hapo itakuwa afadhali kabisaaWapo sahihi kwwli hawataolewa wee unadhani mama mzazi gani mwenye akili atamkubalia mtoto wao wakiume atambulishe single mum kama wife to be na aka furahi
Wao wenyewe waize ma single maza watoto wao wakiume wakileta single mum kama wife to be kama watakubaliVery sad, au labda iwe kila mtu kashafumua huko hapo itakuwa afadhali kabisaa
Wasambaa wachafu..? Mmmhhh hujaishi na wasambaa wewe. Sijui wewe kabila gani ndugu ukute ndio yale makabila ya huko ndanda ya ndandaKULA HIYO MBUSUSU MKUU UKIMALIZA PIGA CHINI ILA NAKUSHAURI USIOE MAANA WASAMBAA WACHAFU AFU HAWAJUI SANA MAMBO
Tuwaachie wenyewe mambo yao mkuu!!Binadamu hatuna jema...
Uwongo.Shida siyo kupata mimba, wakishazalishwa vichwani mwao huisi kwamba hawataolewa ko kujirahisisha na kujigonga gonga kunakuwa kwingi,