MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,095
Eti ni kweli mkiwa uchi mnajiisi huru ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uhuru wa mwanamme ni nini![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uhuru wa mwanamme ni nini![]()
haya sasa!!Yani mtu gari lake, paja lake, kimini chake, kelele zinakutokaje wewe?
Ulitaka kuvaa kimini wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha Wenye Vimini na Magari kishaanza kujibu mashambulizi nini?
Maana sipati picha upige umini halafu ushindwe kupiga jeki maziwa eti yalale

, siwezi elewaNyege tuHabari wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kautafiti kangu kasiko rasmi hasa nikiwa kwenye daladala au kagari kangu ka bei mbaya, nimeshuhudia wengi wa wadada /wamama (sio wote mnielewe) wakiwa wanaendesha vigari vyao huku mapaja yakiwa wazi tofauti na wadada/wamama wanaopanda daladala.
Mbona wanaume hawana mbwembwe za hivi? Yaani aibu huwa naona mimi hasa pale mdada anapokuwa na mapaja personal.
Sina picha naogopa TCRA.
Badilikeni banaa kisa upo kwenye kimkweche ndo utuanikie tupaja twako, aaagh!!