Ndiyo. The number one need of a man is sex. Ngono ndiyo hitaji muhimu sana la mwanaume. Lazima uoe make atakaehimili na atakaye kuwa mtamu na muwajibikaji.aisee tatizo wanaume wakiafrika mwazani ndoa ni muhimu kwa mwanamke kuliko mwanaume.
Ndiyo. Kuna vitu Vinci vya kuangalia. Lkn ikishafika 30+ aachane na ndoto za kuolewa, ameshazeeka. Kila jqmbo na wakati wake, wakati wa 30+ ulishapita.acheni kuwapa presure dada zetu huwezi kuolewa kisa jamii ikuone na wewe umeolewa kuna vitu vingi vyakuangalia kabla ya kukimbilia ndoa...
Wewe bado mtoto. Ukikua utanielewa na utakuwa na mtazamo tofauti.Kwa mwanamke miaka 30 + ni mzee sana. Amekongoroka. Havutii tena kitandani, anatia kinyaa kabisa
Wakati wa mwanamke mwenye 30+ au 40 (kama unavyosema), haupo tena. UmekwishaKuolewa ni mpango wa Mungu usione mtu ana 30 hadi 40+ hajaolewa ukafikiri amependa huwezi jua kikwazo chake ni nini, kila jambo lina wakati wake.