Wadada wengi hawajisafishi

Mchele jamani kama mmeamua kututukana sawa, how come mtu awe na mchele?
Hao watoto hawajui kitu.
Huo ni ute wa kawaida kwenye K.
Kama unatoa harufu na rangi nzito ya njano au kahawia au Kuna maumivu au muwasho basi huyo manzi ni mgonjwa.
Ila Ute mweupe au angavu ni kawaida tu kutegemeana na siku za fertility n.k.

Waambie wakajifunze vizuri Billing's ovulation method.
 
Mchele upelekwe kwa wale wanafunzi wa dodoma, wizara ya kilimo iingilie kati hakuna haja ya msaasa wa mabeberu tena
 
Ahaa ute ute ndiyo wanaita mchele?, amezingua sana huyu.
 
Kuelewa uchafu wa wanawake labda ila sio kuelewa wanawake. Wanawake tunawaelewa vizuri tu wengi wetu.
 
Ahaa ute ute ndiyo wanaita mchele?, amezingua sana huyu.
Ute mweupe unaokatika usioteleza wakati wa nyandu nyandu unakuwa kwenye mkuyenge( dushe) madogo wanaona uchafu au Ugonjwa kumbe sivyo.
Hutokea zaidi km manzi hajatumika karibuni na hajichokonoi kama Muslim women au haifanyi douching (douche bag).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…